Kijana wa China apatikana akiwa hai Marekani baada ya 'kuteka nyara mtandaoni'

  • | BBC Swahili
    2,830 views
    Mwanafunzi mmoja wa kigheni kutoka China amekutwa hai akiwa akiwa kwenye baridi nchini Marekani baada ya wazazi wake kudanganywa na kutoa maelfu ya dola katika kashfa ya "utekaji nyara mtandaoni". Kai Zhuang aligunduliwa "akiwa na baridi sana na mwenye hofu" katika hema moja katika kijiji cha Utah, kwa mujibu wa polisi. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 anaaminika alijitenga baada ya kudanganywa na watekaji. Ni mmoja wa wanafunzi wa kigeni waliolengwa na wale wanaoitwa watekaji nyara wa mtandaoni nchini Marekani hivi karibuni. #bbcswahili #marekani #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw