Kesi dhidi ya Israel

  • | BBC Swahili
    1,279 views
    Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya Umoja wa Mataifa (ICJ) inasikiliza kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina huko Gaza. - Aharon Barak, rais wa zamani wa Mahakama ya Juu ya Israel, anaiwakilisha Israel. - Blinne Ni Ghralaigh, anayewakilisha Afrika Kusini, ameiambia ICJ, "Kuna haja ya kuchukuliwa kwa hatua ya dharura ya haraka ya kuwalinda Wapalestina huko Gaza dhidi ya chuki isiyoweza kuepukwa iliyosababishwa na ukiukaji wa Israel wa mkataba wa mauaji ya kimbari". - Wasilisho hilo linaitaka mahakama kuamuru Israel kusitisha operesheni za kijeshi huko Gaza. ICJ itatoa maoni juu ya madai ya mauaji ya halaiki kwa sababu kesi hiyo si ya jinai. - - - #bbcswahili #afrikakusini #gaza #palestina #hamas #israel #mauajiyakimbari #sheriazakimataifa