Mvulana wa miaka 14 afariki baada ya kukanyagwa na Ambulensi eneo la Mugunga Lugari

  • | West TV
    4,322 views
    Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na minne ameaga dunia baada ya kukanyagwa na gari aina ya ambulensi la hospitali kuu ya lumakanda kaunti ndogo ya lugari kwenye barabara ya kutoka mugunga kuelekea panpaper katika eneo bunge la lugari