Mji wa Rafah umegeuka kuwa kambi ya Wapalestina waliokimbia makazi yao
Kambi mbalimbali za muda zinazo wahifadhi Wapalestina wasiokuwa na makazi zimewekwa huko Rafah karibu na mpaka wa Misri eneo la kusini mwa Ukanda wa Gaza, huku vita vikiendelea kati ya Israel na kikundi cha wanamgambo wa Kipalestina, Hamas.
Wakazi wa Gaza walijificha Jumatatu kuepuka mashambulizi makali ya mabomu na bunduki katika mji wa Khan Yunis, huku shinikizo likiongezeka kwa Israel kuwa hatimaye kuwepo na suluhisho la mataifa mawili ambalo limekuwa katika matakwa ya Wapalestina.
Walioshuhudia wameripoti mashambulizi hatari na mapigano makali kati ya wanajeshi wa Israeli na wanamgambo wa Hamas yaliyoendelea usiku kucha kusini mwa mji huo ambao ni chimbuko la vita vya hivi karibuni.
Wizara ya afya katika eneo linalodhibitiwa na Hamas iliripoti Jumatatu kuwa zaidi ya watu 120 waliuawa katika kipindi cha saa 24.
Shambulizi lililofanywa na Hamas Oktoba 7 kwa kuvuka Gaza na kuingia kusini mwa Israel lilisababisha vita na waliwauwa kiasi cha watu 1,200.
Mashambulizi ya Israel ya angani, ardhini na baharini huko Gaza yameuwa zaidi ya Watu 25,295, wengi wao ni wanawake na watoto, kulingana na Wizara ya Afya katika eneo la Gaza linalosimamiwa na Hamas. Idadi hiyo haitofautishi kati ya raia na wanamgambo. - AP
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
29 Nov 2024
- The changes include the amounts deductable as part of pension and provident funds.
29 Nov 2024
- This comes after President Ruto's move to cancel the Adani-JKIA deal.
29 Nov 2024
- The Kenya Union of Clinical Officers (KUCO) has threatened to down their tolls beginning December 23, 2024 over what they term as discrimination in the rollout of the Social Health Insurance Fund (SHIF).
29 Nov 2024
- Over 600 doctors from different parts of the country will convene at Safari Park Hotel in Nairobi on Saturday, November 30, for a Special Delegates Conference (SDC) to deliberate on the upcoming national strike following unfulfilled promises by the…
29 Nov 2024
- National Assembly Majority Leader Kimani Ichung'wah has implored his colleague Members of Parliament not to feel intimidated when constituents threaten to send them home during the upcoming 2027 elections.
29 Nov 2024
- Savannah Clinker Chairman Benson Ndeta will spend the weekend in police custody after he denied eight charges including conspiracy to defraud Ksh.4.5 billion from Absa Bank purporting to act on behalf of Savannah Cement Limited.
29 Nov 2024
- The three were feted at an awards ceremony held at the Royal Danish Embassy in Nairobi, Kenya.
29 Nov 2024
- The changes include the amounts deductable as part of pension and provident funds.
29 Nov 2024
- The Kenya Society for Deaf Children (KSDC) has presented a series of bold resolutions aimed at advancing the rights, accessibility, and opportunities for Deaf individuals in Kenya.
29 Nov 2024
- NAIROBI, Kenya, Nov 29 – The government has clarified that Indian billionaire Gautam Adani is not involved in Kenya’s Taifa Care health program under the Social Health Insurance Fund (SHIF). This follows President William Ruto’s cancellation of Adani-…
29 Nov 2024
- Manchester United fans’ celebration turn into unexpected detention at Kilifi Police Station.
29 Nov 2024
- The 'Kang’ataCare Programme', the brainchild of Murang'a County Governor Irungu Kang'ata, on Thursday won the prestigious Gold Medal at the 2024 African Association for Public Administration and Management (AAPAM) Innovative Management Awards.