Mivutano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yazua wasiwasi

  • | VOA Swahili
    1,359 views
    Mivutano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki waleta wasiwasi ya kwamba huenda historia ya utegamano ya Jumuiya hii ukaingia shubiri hasa baada ya mwaka 1977 ulipovunjika, kabla ya kuundwa tena. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.