Mwanamke wa miaka 46 ajidunga kisu kifuani na kujaribu kuteketeza nyumba akiwa ndani na mwanawe wa m

  • | West TV
    386 views
    Mwanamke mwenye umri wa miaka 46 kutoka kijiji cha irobo kata ndogo ya shiatsala eneo bunge la shinyalu kaunti ya kakamega amelazwa katika hospitali ya kibinafsi ya our health medical centre shinyalu baada ya kujidunga kisu kifuani kabla ya kuteketeza nyumba yake akiwa ndani na mwanawe wa mwaka moja