Mashirika ya kijamii yameandaa maandamano Busia kukashifu ongezeko la visa vya mauaji

  • | West TV
    85 views
    Mashirika ya kijamii katika kaunti ya busia yameshiriki maandamano ya amani mjini busia kulaani mauaji ya wanawake yanayotokea nchini kila mara. Mashirika hayo yameitaka serikali na asasi zake kuhakikisha visa hivyo vinakabiliwa huku wakimtaka Rais William Ruto kutoa usemi wake kuyahusu