Wanafunzi wakijifunza taaluma zinazolenga uchumi wa Blue

  • | VOA Swahili
    183 views
    Wanafunzi walioshindwa kuendelea na masomo katika taasisi za elimu ya juu wakichukua taaluma mbali mbali zinazolenga uchumi wa Bluu katika taasisi ya Coast Maritime Training Institute #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.