Waziri wa Usalama Profesa Kindiki amesema kamwe hataruhusu Mackenzi kuachiliwa huru

  • | West TV
    36 views
    Huku mshukiwa mkuu wa mauaji ya halaiki ya msituu wa shakahola Paul Mackenzie na washukiwa wenzake wakiendelea kukabiliwa na mashtaka ya mauaji, waziri wa usalama wa ndani Profesa Kithure Kindiki ametoa onyo kali kwa wahubri ghushi ambao wanaendelea kuwalaghai wakenya na kuwapotosha kupitia mahubiri yao akisema chuma chao ki motoni.