Jinsi 'mama wa nyumbani' alivyofichua ukweli juu ya kuporomoka kwa jengo Uturuki

  • | BBC Swahili
    1,015 views
    Mwezi Februari mwaka jana, Uturuki ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi ambalo liliua zaidi ya watu 50,000. Kesi nyingi zinahusishwa na makosa ya ujenzi na ukarabati wa majengo kinyume cha sheria zimefunguliwa katika maeneo yaliyokumbwa na tetemeko huku ujenzi mbaya ukilaumiwa kwa idadi kubwa ya vifo. Nurgül Göksu, mwanamke ambaye alipoteza mtoto wake wa kiume, mkwe na mjukuu wake alifanya uchunguzi wake mwenyewe. #bbcswahili #uturuki #tetemeko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw