Wataalamu Tanzania waonya kuhusu tiba zinazotumika kutibu dalili za ugonjwa wa Red Eyes

  • | VOA Swahili
    101 views
    Huko Tanzania umetokea mlipuko wa ugonjwa wa macho Mekundu maarufu kama Red Eyes, licha ya wataalamu wa afya kueleza kuwa ugonjwa huo hauna tiba isipokua kufanya tiba za dalili zake, hata hivyo kumekewepo na taarifa nyingi juu ya njia mbalimbali za kutibu dalili hizo, wapo wanaoamini chumvi inaweza kutibu hata wengine wakiamini mikojo, haya yote kitaalamu ni njia zisizosahauriwa kwani zinaweza kuwa na madhara makubwa hata kuliko ugonjwa wenyewe. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.