- 862 viewsMwandishi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anaeleza jinsi timu ya Leopard ilivyojitahidi hadi kufikia ilipo hivi sasa na kuwa imetoa matumaini makubwa kwa mashabiki na taifa lao. Wakati huo huo DRC italazimika kuwania nafasi ya tatu mjini Abidjan Jumamosi dhidi ya Afrika Kusini. Wachambuzi wanaeleza kuwa Leopard ya DRC walikuwa na matumaini ya kushinda hadi fainali ya kwanza ya Kombe la Mataifa tangu wawe mabingwa, wakati huo nchi yao ikijulikana kama Zaire, mwaka 1974, nusu karne iliyopita. Jumatano, Nigeria walifuzu kuingia fainali baada ya timu yao Super Eagles kuwacharaza Bafana Bafana ya Afrika Kusini, mabao manne kwa mawili, kupitia mikwaju ya penalti. - VOA, AFP #AFCON #Leopard #DRC #Afrika #Soka #guinea
Timu ya DRC yarejesha matumaini - Mwandishi
- 29 Nov 2024 - The Kenyatta University Teaching, Referral and Research Hospital (KUTRRH) has appointed Irungu Kamau as its acting Chief Executive Officer (CEO), effective immediately.
- 29 Nov 2024 - Daniel Wanyeki Gachoka, 59, who had been serving a life sentence for defiling his two underage daughters, was granted his freedom last week after the Kiambu High Court ruled that he had been wrongfully convicted.
- 29 Nov 2024 - President William Ruto is expected to travel to Arusha, Tanzania later today to attend the 24th Ordinary Summit of the East African Heads of State.
- 29 Nov 2024 - The Nakuru County Government is on the spot over allegations of exhuming bodies from the Nakuru South Cemetery to create space for more bodies to be buried at the grounds.
- 29 Nov 2024 - From the pulpit to beer halls, it's a crisis of faith as graft takes firm root
- 29 Nov 2024 - Former Elgeyo Marakwet County official to lose Sh80m property following court ruling
- 29 Nov 2024 - The discovery comes as the government seeks to raise the number of tourists visiting the country to 10 million annually by 2027.
- 29 Nov 2024 - The number of mpox cases will continue to rise during the next four weeks before starting to show signs of flattening early next year
- 29 Nov 2024 - The update comes following Gachagua's attack in Limuru, Kiambu County.
- 29 Nov 2024 - Embrace e-citizen or quit, President Ruto warns parastatal bosses