- 76 viewsFebruari 21 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mojawapo ya nchi zenye idadi kubwa ya lugha za asili duniani ikiwa na makabila 450. Wataalamu wanasema kuwa baadhi ya koo hupoteza lugha zao za asili kwa sababu na mchanganyiko wa makabila au asili. Shirika la Syndicat d'entraide Chrétienne (Muungano wa misaada ya Kikristo) linawahimiza Wacongo kutumia lugha zao za asili huku ikiiomba serikali ya DRC pia kutumia lugha zake nne za kitaifa katika sekta ya elimu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wataalamu wasema lugha za asili Congo zinapotea kutoka na mchamganyiko wa makabila.
- 5 Feb 2025 - Two human trafficking suspects were on Tuesday arrested after they were found holding 58 Ethiopians at a house in Kitengela, Kajiado County.
- 5 Feb 2025 - Shell (SHEL.L) reported an oil spill on Tuesday at Ogale, near Port Harcourt, after a saver pit overflowed during flushing operations in the Niger delta region.
- 5 Feb 2025 - It may sound apocalyptic, but a newly detected asteroid nearly the size of a football field now has a greater than one percent chance of colliding with Earth in about eight years.
- 5 Feb 2025 - The US government's giant humanitarian agency USAID on Tuesday announced it was placing its staff in the United States and around the world on administrative leave as it moved to recall employees from overseas postings.
- 5 Feb 2025 - The UN Security Council gave the green light in October 2023 to the Multinational Security Support (MSS) mission designed to support Haiti's authorities in their fight against criminal gangs, which control swaths of the country.
- - Former Likoni DCIO Charles Onyango arrested over graft allegations
- 5 Feb 2025 - Australia has banned DeepSeek from all government devices over concerns that the Chinese artificial intelligence startup poses security risks, the government said on Tuesday.
- 5 Feb 2025 - Spiritual leader of Ismaili Muslims and businessman the Aga Khan has died aged 88. According to a statement from the Aga Khan Development Network, the billionaire investor died peacefully surrounded by his family.
- 5 Feb 2025 - The body of the woman had a cut on the left side of the forehead and blood was oozing from the mouth.
- 5 Feb 2025 - Former Laikipia County Woman Representative Cate Waruguru has waded into an ongoing conversation after President William Ruto’s aide and right-hand man Farouk Kibet dramatically controlled speakers during the president’s tour of Mandera County on Tuesday…