- 104 viewsKampuni moja yenye makao yake katika jimbo la California hapa Marekani, inayofadhiliwa na wafanyabiashara mabilionea, wa sekta ya teknolojia, inasema imegundua amana kubwa za shaba nchini Zambia, kwa kutumia akili mnemba, maarufu AI. Ugunduzi huo unafanyika wakati ambapo mahitaji ya madini hayo yanaongezeka, huku dunia ikiwa katika kipindi cha mpito, kukumbatia vyanzo vya nishati safi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Akili mnemba (AI) yatumika katika ugunduzi wa madini Zambia
- 5 Feb 2025 - Government Spokesperson Isaac Mwaura on Wednesday said the operations of the Kenya-led multinational security support mission in Haiti won’t be jeopardised after the United States froze its financial contributions to the force’s United Nations fund.
- 5 Feb 2025 - Doctors at Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH) in Eldoret have commenced industrial action after failure by the management to address their grievances that were not implemented in the Collective Bargaining Agreement (CBA).
- 5 Feb 2025 - Goma, which fell to M23 fighters and the Rwandan military last week, has become a symbol of the conflict that has ripped apart the eastern Democratic Republic of Congo over three decades.
- 5 Feb 2025 - Wild monkeys egged on by YouTubers have been rampaging at Cambodia's famed Angkor Wat complex, attacking tourists, wrecking temple stonework and damaging information boards, officials said Wednesday.
- 5 Feb 2025 - Palestinian militant group Hamas lashed out Wednesday at President Donald Trump's shock proposal for the United States to take over the Gaza Strip and resettle its people in other countries, seemingly whether they want to leave or not.
- 5 Feb 2025 - Thirty-eight minutes into her last year interview on the Kenyan podcast Cleaning the Airwaves (CTA), Narc Kenya party leader Martha Karua bursts into laughter while sharing a childhood story.
- 5 Feb 2025 - Racehorse billionaire and Islamic spiritual leader the Aga Khan died on Tuesday aged 88, leaving millions of followers in mourning across the world.
- 5 Feb 2025 - The governor spoke in the wake of a development tour by Kindiki in Nyeri that brought in over Ksh25 billion in goodies.
- 5 Feb 2025 - Over the past weeks, many African countries have faced dire consequences due to the policies introduced by US President Donald Trump since his inauguration last month.
- 5 Feb 2025 - ‘’Schools that presented candidates for the examination are advised to liaise with their SCDEs to collect the result slips."