Polisi wa akiba auawa kwa kupigwa risasi Baringo

  • | KBC Video
    44 views

    Polisi mmoja wa akiba aliuawa kwa kupigwa risasi huku naibu mwalimu mkuu wa shule moja na mwendeshaji pikipiki wakiuguza majeraha kufuatia shambulizi la majangili katika eneo la Nosukuro Baringo Kusini. Polisi huyo wa akiba ambaye alikuwa miongoni mwa walinzi wanne katika shule ya msingi ya Nosukuro aliuawa alipokumbana na majangili hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive