Mkufunzi wa uogeleaji shuleni Visa Oshwal ashtakiwa kutokana na kifo cha mwanafunzi kidimbwini

  • | Citizen TV
    472 views

    Mkufunzi wa uogeleaji katika shule ya msingi ya Visa Oshwal mtaani Westlands hapa Nairobi, Geofrey Juma Opala, atasalia kizuizini kwa siku saba kabla ya kurejeshwa tena mahakamani kujibu mashtaka.