Bonasi ya Shabiki.com Midweek Jackpot imeongezeka hadi ksh.2m

  • | Citizen TV
    72 views

    Kitita cha zawadi kwenye Shabiki Midweek Jackpot kimegonga shilingi milioni mbili huku Rosalina Chebii mfanyakazi kutoka Mogotio kaunti ya Baringo akiibuka mshindi wa bonasi ya midweek jackpot juma hili .