Mradi wa Kuponya Uraibu wa Ulevi Nchini Zambia

  • | VOA Swahili
    41 views
    Shirika la Afya Duniani linasema kuwa nchini Zambia zaidi ya asilimia 70 ya wanaume na asilimia 30 ya wanawake wanakunywa pombe sana, na mara nyingi. Baadhi ya jumuiya zisizo kuwa za kibiashara wanachukua hatua kuwasaidia watu hao kuwaponya kutokana na uraibu wa ulevi. Kathy Short anaripoti kutoka Lusaka, Zambia. #lusaka #zambia #alcoholism #alchohol #alchoholabuse #voa
    abuse alcohol