- 283 viewsAli Hassan Mwinyi, ambaye katika awamu mbili kama rais wa Tanzania alisimamia kuanzishwa kwa demokrasia ya vyama vingi na kuanzishwa kwa uchumi huria, amefariki akiwa na umri wa miaka 98. Alizaliwa Mei 8, 1925 katika kijiji cha Kivure katika mkoa wa Pwani. Mwinyi alikulia katika kisiwa kilichokuwa na utawala wa kiasi cha Zanzibar na kufanya kazi ya ualimu kabla ya kujiunga na utumishi wa serikali. Alishikilia nyadhifa mbali mbali za juu, ikiwemo katibu mkuu katika wizara ya elimu ya Zanzibar. Mwinyi aliaga dunia Alhamisi kutokana na saratani ya mapafu katika mji wa wa kibiashara, Dar es Salaam, nchini Tanzania ambako alikuwa amelazwa hospitali kwa wiki kadhaa, Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza katika kituo cha televisheni cha taifa TBC1. #alihassanmwinyi #hayati #tanzania #tanzia #wazirimkuu #mstaafu #josephwarioba
Rais mstaafu Kikwete aeleza hayati Mwinyi alikuwa rahimu lakini hana uoga katika maamuzi
- - TRUCK DRIVERS HEALTH ››
- - Duniani Leo ››
- 29 Nov 2024 - Mexican President Claudia Sheinbaum said on Wednesday Mexico would retaliate if U.S. President-elect Donald Trump followed through with his proposed 25% across-the-board tariff, a move her government warned could kill 400,000 U.S. jobs and drive up…
- 29 Nov 2024 - Australia approved on Thursday a social media ban for children aged under 16 after an emotive debate that has gripped the nation, setting a benchmark for jurisdictions around the world with one of the toughest regulations targeting Big Tech.
- 29 Nov 2024 - The affected families were captured watching helplessly as the group of youths demolished the houses.
- 29 Nov 2024 - Kampala socialite Don Nasser alleged unlawful kidnap in Kenya, leading to his detention
- 29 Nov 2024 - IEBC boss warns of constitutional crisis over boundaries review deadline
- 29 Nov 2024 - ODM dismisses reports of coercion to vote by consensus
- 29 Nov 2024 - Private entities allowed to recover proceeds of graft
- 29 Nov 2024 - Kenya's high octane politics three years to next general elections
- 29 Nov 2024 - Puzzling death of lecturer who left home for a leisurely walk only to be found dead.
- 29 Nov 2024 - PS Harry Kimtai has a difficult time justifying the training of 50 doctors for almost half a billion shillings