Nyama na pombe zachangia ongezeko la saratani

  • | VOA Swahili
    140 views
    Shirika la Afya Duniani idara ya saratani linaonya kwamba mtindo wa maisha wa magharibi ikiwemo kula nyama na unywaji pombe vinachangia kuongeza kiwango cha saratani. Mzigo wa saratani ukiwa umeongezeka maradufu katika baadhi ya mifumo ya afya ambayo haina matayarisho mazuri, kuna maana kuongeza mzigo katika hospitali, kuongezeka kupotea kwa nguvu kazi, na kwenye mashine na kwa hakika yote hayo yanakuja na gharama. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.