WHO yasema biashara ya figo yaathiri masikini Nepal | VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    52 views
    Kijiji cha Hoske nchini Nepal, kinajulikna na wengi kama kijiji cha figo au “Kidney Village” kutokana na idadi kubwa ya wanakijiji hicho kuuza figo zao ili kijikwamua na hali ngumu ya maisha. Kwa mujibu wa WHO, licha ya sheria kali, biashara haramu ya figo duniani inazidi kushamiri huku waathirika wakubwa wakiwa watu masikini ambao wanarubuniwa na pesa kidiogo ili wauze figo zao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.