Rai ya mgao wa kuwafaa watoto,Trans Nzoia.

  • | West TV
    115 views
    Wazazi wanaoishi na watoto wenye ugonjwa wa down syndrome kaunti ya Trans Nzoia wanataka serikali kutenga mgao maalum kwa watoto wa ugonjwa huo ili kuzipiga jeki familia zao kutokana na mahitaji mengi ya kuwalea watoto hao.