Waliyokuwa wafanyikazi wa Panpaper wadai malipo yao.

  • | West TV
    57 views
    Viongozi kutoka kanda ya magharibi hasa wabunge wa bunge la kitaifa , spika wa bunge hilo moses wetangula pamoja na mkuu wa mawaziri wametakiwa kushirikiana na kuhakikisha kuwa waliokuwa wafanyikazi wa zamani wa kilichokuwa kiwanda cha panpaper wanalipwa malipo yao kwani wengi wao wanapitia hali ngumu ya maisha ikiwemo kukosa kukithi mahitaji ya familia zao.