8,731 views
Duration: 2:16
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
Meza ya uchunguzi ya KTN sasa imebaini kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa mara nyingine unajipata katikati ya kashfa ya kimataifa ya mihadarati. Kitengo cha upelelezi cha KTN kimekusanya ushahidi unaoonyesha jinsi uwanja wa JKIA sasa umegeuka kuwa njia dhaifu ya kupitisha dawa za kulevya na mitandao ya walanguzi wa kimataifa.
Mei mwaka huu raia mmoja wa Uingereza akiwa na mihadarati ya cocaine yenye thamani ya mamilioni ya shilingi alipita moja kwa moja katika ukaguzi wa JKIA, akisaidiwa na maafisa wa usalama na wafanyakazi wa uwanja wa ndege, na kusafiri hadi London bila tatizo lolote. Lakini alipowasili Heathrow, safari iliishia kwa pingu mikononi baada ya kukamatwa na kitengo maalum cha kupambana na uhalifu cha polisi wa Metropolitan. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews