- 911 viewsTume za uchaguzi za nchi za Afrika Mashariki zimejikuta katika mizozo ya muda mrefu ya kuhakikisha zinasimamia uchaguzi na kuwa huru na wa haki. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Tume za Uchaguzi zajadili suluhisho la kuwa na uchaguzi huru Afrika Mashariki | VOA Swahili
- 28 Nov 2024 - Former Deputy President Rigathi Gcahagua has spoken out about a Thursday incident that forced him to flee a funeral service in Limuru, Kiambu County after goons disrupted the event and indiscriminately attacked mourners.
- 28 Nov 2024 - Both houses of Indian parliament were suspended temporarily on Thursday within minutes of opening as opposition lawmakers disrupted proceedings for the third day this week seeking a discussion on allegations against the Adani Group.
- 28 Nov 2024 - The role of collaboration between parents, teachers, and audiology experts in supporting deaf children was underscored during the second day of the Africa Conference on Deafness held in Nairobi.
- 28 Nov 2024 - Lang'ata MP Jalang'o has announced plans to table a new Bill in Parliament that, among other things, seeks to remove the requirement for compulsory motor insurance.
- 28 Nov 2024 - A middle-aged woman was on Thursday arraigned at the Milimani Law Courts and charged with conspiring to defraud her stepmother of a piece of land in Eastleigh, Nairobi, valued at Ksh.110 million.
- 28 Nov 2024 - Dr Anthony Omerikwa, Chief Executive Officer of Kenya’s National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (NACADA), has been honoured with the Outstanding Global Personality in Drug and Substance Abuse Prevention award.
- 28 Nov 2024 - MPs have been locked in a battle over the amount of money counties should receive following a proposal to slash such allocations.
- 28 Nov 2024 - The government and its partners have heavily invested in a facility for vaccine production.
- 28 Nov 2024 - Police in Isiolo County have arrested four individuals for being in possession of a cache of military gear and 158 rounds of ammunition.
- 28 Nov 2024 - Former Deputy President Rigathi Gachagua escaped unscathed after goons disrupted a burial service for the late Erastus Nduati in Limuru, Kiambu County.