1,245 views
Duration: 2:25
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Serikali ya Kenya imeanzisha utekelezaji wa Mpango wa Nyota kwa ushirikiano na taasisi zote za serikali, ikilenga kuimarisha ujasiriamali na uvumbuzi miongoni mwa vijana. Rais William Ruto amesema makatibu wakuu watasafiri katika kaunti zote 47 kuelimisha viongozi wa kaunti na jamii kuhusu mpango huo na maandalizi ya utekelezaji wake. Kupitia ushirikiano na Benki ya Dunia, vijana 70 kutoka kila wadi 1,450 watapokea ruzuku ya shilingi 50,000 ili kuanzisha biashara. Zaidi ya vijana 100,000 watanufaika, huku serikali ikitenga zaidi ya shilingi bilioni tano kwa ajili ya mpango huu #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews