Skip to main content
Skip to main content

DP Kindiki akashifu kauli za Rais mstaafu Uhuru

  • | KTN News
    259 views
    Duration: 2:05
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Naibu wa Rais Prof. Kithure Kindiki amefanya ziara ya maendeleo katika eneo la Kangema, Kaunti ya Murang’a. Akihutubia wakazi, Kindiki aliwahakikishia kuwa serikali imejizatiti kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Aidha, aliwataka vijana kuchukua fursa ya zoezi la usajili wa kura ili kujiandaa kushiriki uchaguzi ujao. Vilevile, DP Kindiki alikashifu kauli za hivi majuzi zilizotolewa na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews