- 998 viewsDuration: 2:52Sasa utaweza kupokea huduma za afya ya dharura bila malipo katika vituo vya afya ya umma nchini. Afisa Mkuu Mtendaji wa Mamlaka ya SHA Dkt. Mercy Mwangangi ametangaza mpango wa kuboresha bima ya kitaifa ya afya ili kuhakikisha kuwa kila mkenya, wakiwemo wale ambao hawajajisajili na SHA, wanapokea huduma za dharura. Lakini kama anavyoarifu Serfine Achieng huduma hiyo itakuwa bila malipo kwa saa 24 ya kwanza pekee...