- 416 viewsDuration: 3:04Mgomo wa wahadhiri unaendelea kutokota, huku wizara ya elimu na wahadhiri wa vyuo vikuu wakiendelea kukwaruzana kuhusu malipo. Wizara inasisitiza kuwa serikali inadaiwa tu shilingi milioni 624 kutoka makubaliano ya 2017–2021. Wahadhiri nao wakisema wanadai serikali shilingi bilioni 7.9. Mvutano huu unatishia kuwaacha wanafunzi kubeba mzigo mzito.