- 764 viewsDuration: 2:46Naibu Rais Kithure Kindiki amewahimiza wakenya ambao hawajajisajili kama wapiga kura kujitokeza na kufanya hivyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kaunti za Murang’a na Kilifi, Kindiki amesema ni kupitia kura tu ndio Wakenya watawachagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Semi sawia zilisheheni katika kampeni za kupiga jeki makundi ya kina mama katika kaunti za Busia na Homa Bay.