- 175 viewsDuration: 40sTimu ya Posta Rangers imedhibiti nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu ya taifa ya KPL baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na timu ya AFC Leopards. Leopards ilichukua uongozi mara mbili huku Posta ikisawazisha mara mbili. Kwenye mechi nyingine katika uwanja huo huo wa Dandora, Kakamega Homeboyz iliipiku Sofapaka kwa bao 1-0.