Mgomo wa kitaifa wa maafisa wa kliniki kuendelea

  • | K24 Video
    13 views

    Mgomo wa kitaifa wa maafisa wa kliniki utaendelea, baada ya viongozi wa muungano wao kukosa kuafikiana na baraza la magavana katika mkutano wa leo. Uongozi huo utawaondoa wafanyikazi wao kutoka kwa vituo vya afya vilivyo chini ya serikali ya kitaifa ifikapo jumatano, hatua wanayonuia itapelekea serikali kutatua mgomo hu