- 166 viewsDuration: 3:14Shule zinapojiandaa Kwa Mitihani ya kitaifa mwezi huu, ni afueni Kwa shule za upili za Samburu magharibi baada ya kupokea msaada wa chakula kutoka shirika la "child welfare society of Kenya " kuwaezesha watahiniwa kusalia shuleni wanapoendelea na Mitihani Yao. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.