6 Oct 2025 10:33 am | Citizen TV 202 views Duration: 2:06 Wakazi zaidi ya mia tatu wa Mkocheni eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta wameamkia kadhia ya ubomoaji wa nyumba zao kutokana na mgogoro wa ardhi ambao umedumu kwa muda mrefu.