- 351 viewsDuration: 17:38Je, wakenya wanaelewa jinsi ya kufanya biashara kupitia COMESA? Je, masharti ya COMESA yanawafaa wafanyabiashara wadogo? Je, soko la COMESA ni la wafanyabishaara wakubwa peke yao? Tunaangazia soko la pamoja la mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini