- 12,227 viewsKinyang’anyiro cha urais wa Marekani kati ya Rais Joe Biden na rais wa zamani Donald Trump bado lengo liko katika mzozo mwingine wa sera ya mambo ya nje – Rais Biden atuma ujumbe kwa Putin kuwa Marekamni haitaondoka Ukraine. Na Donald Trump adai kuwa Marekani imeshapeleka misaada mingi. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Uchaguzi wa Marekani: Biden amwambia Putin kuwa Marekani haitaondoka Ukraine
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 30 Apr 2025 - At least 26 people were killed on Monday when two vehicles detonated an improvised explosive device in Nigeria's northeastern Borno state, the heartland of an Islamist insurgency, residents said.
- 30 Apr 2025 - Police IG Douglas Kanja has vowed to take decisive action against officers accused of using excessive force during a violent clash with protesting residents in Angata Barikoi, which left five civilians dead.
- 30 Apr 2025 - A family in Machakos has been left in distress after their donkey turned violent and attacked both the mother and her son.
- 29 Apr 2025 - Thousands of teachers TSC are staring at fresh uncertainty over access to comprehensive medical cover, as their current insurance contract nears expiry in November, with no clear alternative under the SHA scheme.
- 29 Apr 2025 - The Central Organisation of Trade Unions (COTU) board has walked back on last week's declaration by the umbrella union's long-serving Secretary General, Francis Atwoli, that he would exit the leadership.
- 29 Apr 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) has sought to reassure Kenyans that it will rigorously enforce the government's directive suspending all gambling advertisements and influencer marketing for 30 days.
- 29 Apr 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has termed as reckless and malicious an attempt by some MPs to travel to Taiwan during the period when President William Ruto was touring China.
- 29 Apr 2025 - The exposé, aired Monday, investigates the deadly crackdown on anti-government protests in June 2024. It alleges that Kenyan police and military forces received covert “shoot-to-kill” orders even before official deployment was authorized.
- 29 Apr 2025 - The Cabinet has approved the Finance Bill, 2025, in a move it says is aimed at tightening Kenya’s fiscal belt while sparking reforms across the taxation landscape.
- 29 Apr 2025 - MANILA, Philippines Apr 29 — A US aircraft carrier strike group is conducting maritime operations in the Philippine Sea, a vast and resource-rich body of water on the country’s eastern side, opposite the West Philippine Sea. The deployment comes just…