- 4,537 viewsDuration: 2:34Shirika la huduma kwa wanyamapori sasa limetoa onyo kwa wakazi wa eneo la Seme kaunti ya Kisumu, ambao wanawinda na kula mdege aina ya kwarara . Kulingana na msimamizi wa kisiwa cha Ndere, idadi ya ndege hao imepungua maradufu na huenda mbuga hiyo ikapoteza wageni. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, licha ya utafiti kuonyesha uwezekano wa ndege hao kuwa hatari kwa binadamu, wakazi wa Seme wamekata kauli ya kuwinda ndege hao.