Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wamtaka Rais Ruto kuingilia kati kisa cha kutekwa nyara kwa Wakenya Uganda

  • | KTN News
    285 views
    Duration: 2:10
    Wanaharakati wa haki za binadamu mjini Mombasa wameitaka serikali ya Uganda kuwaachilia huru Bob Njagi na Nicholas Oyoo, waliodaiwa kutekwa nyara na maafisa wa usalama jijini kampala wiki iliyopita. wakiongozwa na Zedekiah Adika wa mwavuli wa mashirika ya kiraia ya Pwani, walimtaka Rais William Ruto kuingilia kati, wakilaani ukimya wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews