1,502 views
Duration: 2:21
Mwenyekiti wa baraza la magavana amerai chama cha madaktari na matabibu wa meno KMPDU pamoja na wizara ya afya kutohusisha masuala ya afya na siasa. Haya yamejiri baada ya baraza hilo kufanya uchaguzi wa viongozi watakaoongoza baraza hilo kwa mwaka mmoja ujao. Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi, na mwenzi wake wa Nyeri Mutahi Kahiga watasalia kuwa mwenyekiti na naibu wake huku gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki akichukua wadhifa wa kiranja kutoka kwa gavana wa Nandi Stephen Sang.
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews