- 4 viewsMajeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanasema kuwa yamezima jaribio la mapinduzi mapema Jumapili na kuwakamata wahalifu, wakiwemo raia wa kigeni kadhaa. Hii ilifuatia mashambulizi yaliyofanywa katika kasri ya rais na makazi ya mshirika wa karibu wa Rais Felix Tshisekedi ambapo watu watatu waliuawa katika mji mkuu, Kinshasa. Sita kati ya hao waliouawa ni pamoja na washambuliaji watatu na kiongozi wao, kiongozi wa upinzani aliyekuwa anaishi ughaibuni Christian Malanga, msemaji wa jeshi la Congo Brigedia Jenerali Sylvain Ekenge aliwaambia waandishi wa habari Jumapili usiku, akiongeza kuwa wahalifu takriban 50 walikamatwa. Video hiyo inaonyesha watu kadhaa wa Congo ambao hakutambulishwa, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi la ulinzi ilichosema kilikuwa ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa wamezingirwa na wanajeshi wa Congo. Wamarekani wawili, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi ilichosema ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa chini wamezungukwa na wanajeshi wa Congo (mtoto raia wa Marekani wa Christian Malanga katika picha ya chini, iliyozungushiwa duara jekundu). #mapinduzi #drc #jeshi #wanamgambo #felixtshisekedi #voa #voaswahili #christianmalanga #jenerali #sylvainekenge #congo #rais #felixtshisekedi
Wamarekani 2 washukiwa wa jaribio la mapinduzi wakamatwa DRC
- 28 Nov 2024 - As the Environment and Land Court Justice conference enters day two in Eldoret, key stakeholders have noted that the ELC plays a key role in sorting out issues that have bedevilled Indigenous communities for a long time.
- 28 Nov 2024 - Paulo de Meo Filho, a postdoctoral researcher at University of California, Davis, is part of an ambitious experiment aiming to develop a pill to transform cow gut bacteria so it emits less or no methane.
- 28 Nov 2024 - More than 250,000 people in Sri Lanka have been forced to flee after their homes were flooded.
- 28 Nov 2024 - The Orange Democratic Movement (ODM) National Chairperson Gladys Wanga says the party grassroots elections which are ongoing intend to strengthen ahead of the 2027 General Election.
- 28 Nov 2024 - Voters waited in long queues outside polling stations in Namibia's capital Windhoek on Wednesday morning to cast their ballots for a new president and parliament in what could be a tough election to win for the ruling SWAPO party.
- 28 Nov 2024 - An Infotrack survey released last month indicated that a majority of Kenyans—73 per cent are either in severe financial distress or struggling to make ends meet
- 28 Nov 2024 - Democrat Kamala Harris came in for a deluge of mockery by Republicans and right-wing US media Wednesday after the release of a short video clip from her first public comments since losing to Donald Trump.
- - We cannot allow Moi University to collapse: CJ Martha Koome
- 28 Nov 2024 - Israel told the International Criminal Court on Wednesday that it will appeal against arrest warrants for Prime Minister Benjamin Netanyahu and his former defence minister.
- 28 Nov 2024 - The new push comes as Ruto joins forces with Raila, giving him much more influence in Parliament.