Rais Biden na mkewe Jill wamemkaribisha Rais Ruto na mkewe Rachel

  • | VOA Swahili
    325 views
    Rais Joe Biden na mkewe Jill wamemkaribisha Rais William Ruto na mkewe Rachel kwa dhifa ya chakula cha jioni huko White House. White House inamfanyia moja ya hafla kubwa ya jioni Rais wa Kenya William Ruto na kuegemea anachokipenda kiongozi huyo wa Afrika kwa kuonyesha aina mbili za kipekee za muziki wa Kimerekani ikiwemo nyimbo za Injili. Ni halfa ya kwanza ya kitaifa kwa nchi ya Afrika tangu mwaka 2008, Rais Joe Biden anatarajia wageni takribani 500. Ni hafla ya sita na kubwa kuliko zote iliyoandaliwa katika utawala wake. #ruto #biden #kenya #us #whitehouse #reels #voa