- 283 viewsMwanamke wa Kipalestina aliyejitambulisha kwa jina moja Maryam ambaye ndugu yake aliuawa anaeleza huzuni yake kufuatia shambulizi la mabomu. Sikiliza anachosema Watu wote wanaoishi jirani waliondoka, lakini yeye hakuweza kuondoka. Hawakutegemea hili. Hawana kitu chochote, walikuwa salama. Walikuwa hawana kitu. Lilimuangukia na kuwaangukia watoto wake, watoto hawa wamefanya nini kustahili kuwasibu hili? Hawakufanya kitu. Wacha nchi za Kiarabu waone na Israel ione hilo, wacha Marekani iwe na furaha, pia nchi zilizobakia duniani, wakati sisi tunaishi katika vita hivi, njaa na kupigwa mabomu. Amefanya nini kustahili kupatwa na hili? Alikuwa amelala na watoto wake kwa amani, nini watoto hawa wamefanya kustahili kupatwa na hili? Ni kitendo cha aibu wanachofanya.” #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili
Wanawake wa Kipalestina wakilia pembeni ya miili ya wapendwa wao
- - Duniani Leo ››
- 28 Nov 2024 - Democrat Kamala Harris came in for a deluge of mockery by Republicans and right-wing US media Wednesday after the release of a short video clip from her first public comments since losing to Donald Trump.
- 28 Nov 2024 - Israel told the International Criminal Court on Wednesday that it will appeal against arrest warrants for Prime Minister Benjamin Netanyahu and his former defence minister.
- 28 Nov 2024 - US President-elect Donald Trump announced Wednesday that he was nominating staunch loyalist and retired general Keith Kellogg as his Ukraine envoy, charged with ending the two-and-a-half-year Russian invasion.
- 28 Nov 2024 - Bill was brought to the House following the Gen-Z-led protests in June and July.
- 28 Nov 2024 - Urban exodus: Kenyans flee congested cities for rural areas
- 28 Nov 2024 - Aviation industry wants say in JKIA upgrade after Adani cancellation
- 28 Nov 2024 - I considered killing my violent husband, woman says
- 28 Nov 2024 - Mothers cry for justice, call for ethical reporting
- 28 Nov 2024 - How ocean alliances have shaped the shipping industry
- 28 Nov 2024 - MP seeks radical laws to guide surrogacy, prevent exploitation