Serikali yahimizwa kupunguza ushuru

  • | KBC Video
    9 views

    Serikali ya kitaifa imehimizwa kuangazia upya mapendekezo ya ushuru na badala yake kuzingatia zaidi ustawi wa kiuchumi kwa kupiga jeki biashara ndogo na za kadri, ujasiriamali, mpango wa afya kwa wote na utoaji elimu ya msingi na sekondari bila malipo. Wakiongea baada ya kuzindua mswada wa fedha na bajeti ya mwananchi, viongozi wa kundi la Bunge la Mwananchi walikariri haja ya kupunguza kiwango cha gharama ya maisha, ushuru ziada wa thamani-VAT unaotozwa bidhaa muhimu na kukabiliana na ufukara na ukosefu wa usawa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive