Mbunge Kakuta Maimai agadhabishwa na kuongeza ushuru

  • | Citizen TV
    571 views

    Hatua ya serikali kuongeza Ushuru kwa bidhaa mbali mbali hasa zile za kawadia mara kwa mara inaonekana kuendelea kuwakera wananchi pamoja na viongozi mbali mbali nchini. Wa hivi Punde kutoa Kauli yake ni Mbunge wa Kajiado Mashariki Kakuta Maimai ambaye anasema Licha ya serikali sasa kuongeza Ushuru zaidi ikilinganishwa na serikali za hapo mbeleni.