Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?
Hapana.
Kazi iko wazi kwa wale wana sifa zilizotajwa katika Katiba ya Marekani.
Mahitaji:
Awe na Umri wa miaka 35
Awe ameishi ndani ya Marekani kwa miaka 14.
Awe raia mzaliwa wa Marekani.
Wasisi wa taifa walikuwa na matumaini umri huenda ukaleta busara na ukomavu.
Wakati Katiba ilipokuwa inapitishwa umri wa kuishi ulikuwa chini ya miaka 40
Ukazi na uraia:
Mahitaji haya yalikuwa na azma ya kukatisha ushawishi wa nje.
Wataalamu wa kisheria wanaamini uraia wa kuzaliwa unahusu mtu aliyezaliwa nchini Marekani au aliyezaliwa na wazazi ambao ni Wamarekani.
Lakini Mahakama ya Juu Marekani haijawahi kutoa maamuzi rasmi kuhusu ufafanuzi wa suala hili.
#uchaguzi #marekani #upigajikura #mhamiaji #greencard #raia #ukaaziwakudumu #voa #voaswahili #sifa #kugombea #nafasiyaurais #sifa #wazazi #kuzaliwa
18 Oct 2024
- The deputy president was impeached after a majority of senators voted to kick him out.
18 Oct 2024
- Kuria made the sentiments minutes after Rigathi was impeached.
18 Oct 2024
- Malala, the former UDA Sec Gen was himself removed after being accused of being a Gachagua man.
18 Oct 2024
- TikTok and Facebook approved advertisements containing blatant US election falsehoods just weeks ahead of the vote, a watchdog investigation revealed Thursday, calling into question the tech platforms' policies to detect harmful disinformation.
18 Oct 2024
- Senate Speaker Amason Kingi has gazetted the impeachment of Deputy President Rigathi Gachagua, consequently formalizing the removal of the country's second in command from office
18 Oct 2024
- Ukrainian President Volodymyr Zelensky said Thursday he had intelligence reports that North Korea was training 10,000 soldiers to support Russia in its fight against Kyiv.
18 Oct 2024
- After a career in the shadows, spent in Israeli prisons and the internal security apparatus of Hamas, Yahya Sinwar emerged as the leader of the Palestinian group after helping ignite a full-blown war that has engulfed the region.
18 Oct 2024
- The Government, through the State Department of Mining, has launched a major crackdown on illegal mining activities in Kilifi County and across other regions in a bid to curb revenue loss from unregulated operations. The operation, led by Principal…
18 Oct 2024
- The deputy president was impeached after a majority of senators voted to kick him out.
18 Oct 2024
- Kuria made the sentiments minutes after Rigathi was impeached.
18 Oct 2024
- Relief for TSC boss as High Court throws out corruption petition
18 Oct 2024
- Inaugural KPSEA, KCSE exams to start as schools close for holiday
18 Oct 2024
- Musalia Mudavadi: A second shot at the deputy presidency?