- 243 viewsMahitaji mbalimbali ya zao la kakao katika soko la dunia limepelekea bei ya zao hilo kubakia wakati wote juu, lakini hakuna kiasi cha kutosha ya zao hilo kuuzwa katika mkoa kusini magharibi wa Cameroon, ambalo awali lilikuwa ni bonde kuu la uzalishaji kakao katika taifa hilo. Hii ni kutokana na vita vya silaha vilivyo yakumba maeneo ya Kaskazini magharibi na Kusini magharibi, mikoa miwili inayozungumza Kiingereza, tangu mwaka 2017, na kuwalazimisha wakulima kadhaa kuhamia maeneo mengine. Kama anavyorepoti Njodzeka Danhatu kutoka Buea, mkoa wa Kusini magharibi mwa Cameroon, baadhi ya wakulima wameanza hivi sasa kurejea katika maeneo yao. Kilo moja ya kakao ambayo ilikuwa inauzwa kwa dola moja ya Marekani. Inauzwa kwa dola tisa za Marekani hivi leo, bei ya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika taifa hilo la Afrika ya Kati. Serikali inawapa wakulima wa maeneo hayo ushauri juu ya namna ya kutumia fedha hizo zinazotokana na kakao kuondokana na umaskini. #cocoa #cameroon #farming #voa
Bei ya Kakao yaongezeka zaidi huku vita Cameroon ikiyumbisha upatikanaji wake
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 23 Apr 2025 - The World Food Programme suspended malnutrition treatment for 650,000 malnourished women and children in Ethiopia this week due to severe funding shortages, the U.N. agency said, with millions more at risk of losing access to aid.
- 23 Apr 2025 - Africans are hoping one of their own could become the first Black pope in modern history and build on Francis's legacy of championing the developing world, though the chances of that happening appear slim.
- 23 Apr 2025 - To the rival politicians, the scandal is supposedly manna from heaven, as the legislator had incredible ratings.
- 23 Apr 2025 - PAC noted that the most significant assets remain without legal ownership documents.
- 23 Apr 2025 - The CS told Parliament that the funds are channelled based on the number of patients attended to.
- 23 Apr 2025 - The proposed law had sparked criticism from civil society groups.
- 23 Apr 2025 - Thirty-one counties are losing revenue in the proposed formula by the CRA.
- 23 Apr 2025 - CS Tuya hailed the course as a major milestone for Nairobi.
- 23 Apr 2025 - The marriage veterans paint the union in soft, rosy hues but studiously avoid mentioning the downside if the marriage comes crumbling down.
- 23 Apr 2025 - A Hamas delegation left for Cairo to discuss "new ideas" aimed at securing a ceasefire in Gaza, an official from the group said, as rescuers reported 26 dead in Israeli air strikes on Tuesday.