Maaandalizi ya mazishi katika Hospitali ya AL-Aqsa Martyrs
Mashambulizi ya angani yaliyofanywa na Israeli Jumanne yameuwa Wapalestina wasiopungua 17 katika kambi mbili zilizo kuwa za kwanza kuanzishwa katika Ukanda wa Gaza na vifaru vya Israeli viliingia ndani zaidi ya eneo finyu la mji wa Rafah ulioko kusini, wakazi na wafanyakazi afya walisema.
Maandalizi ya Mazishi yakiendelea katika Hospitali ya AL-Aqsa Martyrs huko Deir AL-Balah, Gaza, ambapo familia kadhaa zilipoteza wapendwa wao katika mashambulizi ya angani yaliofanywa na Israeli.
Wakazi wameripoti mashambulizi ya mabomu yenye nguvu yanayofanywa na vifaru na ndege kadhaa katika maeneo kadhaa ya Rafah, ambapo zaidi ya watu milioni moja walikuwa wamekimbilia kutafuta hifadhi kabla ya mwezi Mei. Wengi kati ya watu hao wamekimbilia kaskazini tangu wakati huo wakati majeshi ya Israeli yalipokuwa yakivamia mji huo.
Tangu Hamas ilipofanya shambulizi Oktoba 7, mashambulizi ya Israel huko Gaza yameuwa zaidi ya Wapalestina 37,400, kulingana na maafisa wa afya wa Gaza.
Hamas inayoongozwa na watu wenye silaha imeua takriban watu 1,200 na kuwateka watu zaidi ya 250 katika uvamizi wa Oktoba 7 waliofanya ndani ya Israel, kulingana na hesabu iliyojumlishwa na Israel.
-Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel #Deiralbalah
27 Sep 2024
- This comes days after President William Ruto met the foundation's officials in New York.
27 Sep 2024
- The move comes following complaints by Kenyans over the behaviour of matatu operators.
27 Sep 2024
- Kenya's currency has retained its position as the world's best-performing currency after gaining by 17 per cent.
28 Sep 2024
- Deputy President Rigathi Gachagua's allies have attributed his tribulations in government to what they describe as coordinated efforts to undermine his office.
28 Sep 2024
- The journey ahead demands a closer look at both the triumphs and the gaps that remain.
28 Sep 2024
- The web of firms taking over your healthcare
28 Sep 2024
- Confusion as top officials snub SHA digital demonstration event
28 Sep 2024
- NG-CDF's fate sealed, time legislators kissed the fund goodbye
28 Sep 2024
- Kenya's second quest for a national dress to gobble Sh100 million
28 Sep 2024
- Doctors want Nairobi Hospital board audited, shown the door
28 Sep 2024
- The implementation of the Social Health Insurance Fund (SHIF) is in complete disarray as members of the public infiltrated virtual training sessions meant for public health officials across the country regarding the registration and use of the new…
28 Sep 2024
- The Law Society of Kenya (LSK) has filed a contempt of court application against Inspector General of Police Douglas Kanja.
28 Sep 2024
- New scheme risks merely shifting financial burdens without improvements in healthcare quality.