- 115 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ONGEZEKO LA JOTO NA ATHARI ZAKE KIAFYA
- 6 Jul 2024 - President William Ruto has revoked the appointment of Linda Nkatha Gichuyia as the chairperson of the Affordable Housing Board.
- 6 Jul 2024 - U.S. President Joe Biden on Friday battled to put down an uprising among some Democrats pushing him to abandon his reelection campaign after a poor debate performance, vowing that "I'm staying in the race."
- 6 Jul 2024 - Two more solders have been sentenced to death in the Democratic Republic of Congo after they fled battles in conflict-torn North Kivu province, a military court said on Friday.
- 6 Jul 2024 - As peaceful and unarmed protestors stormed the Kenyan parliament building to protest the 2024 Finance Bill, shocked Members of Parliament quickly sought safety in secure locations.
- » Hamas accepts US proposal on talks over Israeli hostages 16 days after first phase, Hamas source says6 Jul 2024 - Hamas has accepted a U.S. proposal to begin talks on releasing Israeli hostages, including soldiers and men, 16 days after the first phase of an agreement aimed at ending the Gaza war, a senior Hamas source told Reuters on Saturday.
- 6 Jul 2024 - President William Ruto has expressed satisfaction following the conclusion of an engagement forum hosted by popular X personality Kevin Monari alias Osama Otero.
- 6 Jul 2024 - Joe Biden vowed Friday to stay in the White House race and blamed his dismal debate performance on "feeling terrible" due to a cold, as he sought to save his reelection campaign with a make-or-break TV interview.
- 6 Jul 2024 - Sudi has been facing a barrage of criticism online, and he has begun to fire back.
- 6 Jul 2024 - NPS reported that the incident led to a serious injury but did not divulge further details.
- 6 Jul 2024 - The alleged victims, both pupils of Mulwa Primary School, were rescued by members of the public.