Viongozi kilifi wanataka waandamanaji kuachiliwa

  • | Citizen TV
    1,343 views

    Baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti ya Kilifi wameitaka idara ya polisi kuwaachilia huru vijana waliokamatwa wakati wa maandamano nchini. viongozi hao pia wamewaonya wanasiasa wa mrengo wa Kenya Kwanza kutoka eneo hilo dhidi ya kutumia maandamano kujipa umaarufu wa kisiasa. seneta w akilifi stewart Madzayo amesema kuwa vijana 10 walioachiliwa huru na mahakama ya Kilifi wiki iliyopita walikamatwa tena pindi tu walipoondoka kwenye majengo ya mahakama na sasa wanaendelea kuzuiliwa bila kuwasilishwa kortini.