Wazazi, walimu na viongozi watakiwa kuwajibika

  • | Citizen TV
    215 views

    Kongamano la vijana kuhusu maadili limeitaka serikali, viongozi wa kidini pamoja Na wazazi kutekeleza majukumu yao katika jamii ili kukabiliana Na ongezeko la mimba za mapema. Wakizungumza kaunti ya Mombasa wakati wa kukamilika kwa kongamano hilo, wadau mbalimbali wamesema tamaduni zilizopitwa Na wakati, na uchochole zimechangia ongezeko la visa hivyo miongoni mwa wasichana huku ukosefu wa maadili ukichangia maambukizi ya virusi vya hiv miongoni mwa vijana.